Enzi Zao: Ezekiel Barngetuny
HTML-код
- Опубликовано: 9 апр 2025
- Hebu tafakari kwamba rais wa jamhuri anakuamini kiasi cha kwamba wewe ni mmoja wa wachache wanaoweza hata kutuliza hasira zake akikasirika.Hebu fikiria ukiwa na uwezo wa hata kugeuza mawazo ya rais na kumshawishi atende au asitende jambo fulani. Basi huo ndio uwezo ambao mzee Ezekiel Barngetuny alikuwa nao dhidi ya Rais mstaafu Daniel Moi, wakati Moi alipokuwa mamlakani. Wiki hii kwenye makala ya enzi zao, Franklin Macharia anamwangazia Ezekiel Barngetuny, mwandani wa rais mstaafu Daniel Moi.
He was a respected man. Barng'etuny Secondary School - Kapchumba was established in honor of his memory.
Hii kabila liliumiza na kuteza kenya !, Tuliumia sana miaka ishirini na nine bila maendeleo na ukabila mwingi bila aibu.
is it me or does this guy sound exactly like Nyayo(Moi).
Barngetuny the Legend
Anataja Mungu lakini accumulate wealth while others Hunger!
Ha ha ha, he sounds like Moi!!
Ulimwengu sio yeti lakini 2k acres ya nini.
Huwa napenda hizi mazungumzo ya wazeee
Gotab Sololo 🐝🐝
the era of mediocrity n sycophancy....that wrecked a nation.
Rip mzee
god 2000 acres rundisha ardhi ya wakenya ndio ata even with 91 years your keys to heaven or hell r missing!!!! waizi
This goon Moi should have died in prison, he committed alot of crimes against humanity towards his people and squandered Kenyans resources. May he rot in hell where he belongs.
He is in remarkable health the old codger!
Barngetuny plaza
You know the plaza in Eldoret?
@@muturigikunda6203 yes home town
Wow! Used to school there.
2k acres!?🤔🤔 mine is barely 2 acres
So it is enough for you
Heri wewe uko na mbili. Wengine hatuna kitu buana.
naguwa mashintano
umesema ukweli jambopatty.how many people work from morning to evening and cant even afford 1 acre?kama chma fulani kingefanya mtu apate haya mali yote,anyone would say KANU TAMU!we never know which damu they are talking about.yao ama ya watu wengine.oops.so funny ati alikuwa anaenda kuongea na moi kumwmbia mambo ya mungu na kadhalika,basi pia mimi nataka hiyo kazi niwe milionare.Mtu wa mungu,na hiyo shamba iko tu hapo,while pple elsewhere hawana chao.hope hell is big enough.
Kenyatts has 600,000.
people asking him to donate his land to idps are sick.. kwani he does not have family and people in his community that are poor.. this man is 91 and he got his land during kenyattas time with his own money.. stop being jealous and thinking everyone with land stole land shit.. go to another african country and buy land there instead of demonizing everyone with land..clowns
Donate some land to the IDPS
no wonder we hade idps xxxxxxx20000000 ha ulipata wapi aje vipi
Ganu ntamu